Ph: +255 23 2334482/2334483, Email: info@stemmuco.ac.tz
Ph: +255 23 2334482/2334483, Email: info@stemmuco.ac.tz

Ugawaji wa Majoho kwa Wahitimu na Wahadhiri

Kuchukua Joho:

Kuanzia tarehe 14-11-2024 up-to 15-11-2024

Muda:  Saa 3 :30 Asubuhi hadi Saa 11:00 Jioni. 

 

kurudisha Joho:

Kuanzia tarehe 17-11-2024 up-to 18-11-2024

Muda:  Saa 4 :00 Asubuhi hadi Saa 11:00 Jioni. 

 

PENALTY:

Ukichelewesha  kurudisha joho utalipa sh. 10,000/=  kwa kila Siku utakayo chelewesha joho. 

 

Imetolewa na Sr. F. Chitopela

Mwenyekiti wa kamati ya Mapambo